Mkurugenzi Mtendaji wa Jitegemee Trading Company Limited, William Obimbo akiwa pamoja na Bodi ya Wadhamini waliotembelea kampuni hiyo kwa ajili ya kufanya ziara na kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na kampuni.

more insights

JTCL Board Meeting

Mkurugenzi Mtendaji wa Jitegemee Trading Company Limited, William Obimbo akishiriki kikao cha Bodi kilichofanyika kwa ajili ya kujadili maendeleo, mipango na utekelezaji wa shughuli mbalimbali

Read more >