Mkurugenzi Mtendaji wa Jitegemee Trading Company Limited, William Obimbo akishiriki kikao cha Bodi kilichofanyika kwa ajili ya kujadili maendeleo, mipango na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kampuni.

more insights

KIKAO CHA BODI YA KAMPUNI

Matukio mbalimbali katika picha ya kikao cha Bodi kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Ndugu Frank Nyabundege, kilichofanyika jijini Dodoma hivi karibuni. Kikao hicho kilijadili maendeleo

Read more >

ZIARA YA BODI YA WADHAMINI

Mkurugenzi Mtendaji wa Jitegemee Trading Company Limited, William Obimbo akiwa pamoja na Bodi ya Wadhamini waliotembelea kampuni hiyo kwa ajili ya kufanya ziara na kujionea

Read more >