JTCL Board Meeting

Mkurugenzi Mtendaji wa Jitegemee Trading Company Limited, William Obimbo akishiriki kikao cha Bodi kilichofanyika kwa ajili ya kujadili maendeleo, mipango na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kampuni.