ZIARA YA BODI YA WADHAMINI

Mkurugenzi Mtendaji wa Jitegemee Trading Company Limited, William Obimbo akiwa pamoja na Bodi ya Wadhamini waliotembelea kampuni hiyo kwa ajili ya kufanya ziara na kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na kampuni.