KIKAO CHA BODI YA KAMPUNI

Matukio mbalimbali katika picha ya kikao cha Bodi kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Ndugu Frank Nyabundege, kilichofanyika jijini Dodoma hivi karibuni. Kikao hicho kilijadili maendeleo ya kampuni pamoja na mipango mbalimbali ya kuimarisha shughuli na huduma zinazotolewa.